Luke 9:17

17Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili.

Petro Amkiri Isa Kuwa Ndiye Al-Masihi

(Mathayo 16:13-19; Marko 8:27-29)

Copyright information for SwhKC